Cool Runnings
JF-Expert Member
- Feb 4, 2013
- 277
- 199
Wakuu naomba mwenye translation ya hilo neno, nafkiria kuhusu boycotting, abstaining lakini naona hayaleti maana halisi!!!!!!!
Sulk!!!!
hii sulk nadhani inaendana na kununa
Quit ndio neno sahihi. Mziraji anaitwa quitter. OLESAIDIMU mekukosa, sheeeee.
Mi pia asee!!!
Umekuwa adimu sana afadhali jasho ya singirii!!!
Hutapata neno la karibu zaidi na lililo jepesi kueleweka zaidi ya Boycott..zaidi ya hapo ni kutafuta kuwaumiza vichwa walengwa.
Hahaha singirii kabisa? Niko loliondo navuna nyanya. Nikija mjini ntakutafuta aisee
Quit ndio neno sahihi. Mziraji anaitwa quitter. OLESAIDIMU mekukosa, sheeeee.
sulk
[suhlk]
verb (used without object)
1.
to remain silent or hold oneself aloof in a sullen, ill-
humored, or offended mood:
"Promise me that you won't sulk if I want to leave
the party early."