machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,216
- 5,032
Rafiki yangu ana umri 35 ana tatizo la kutokwa na damu puani zaidi ya miaka 10,tatizo lilianza kipindi ameanza kazi ya fundi wa ujenzi!
Tatizo lake ni kwamba Kila aamkapo asubuhi wakati ana anawa uso damu zinatoka puani, wakati mwingine wakati amekaa tu damu zinatiririka!!
Naombeni msaada wenu madaktari
Tatizo lake ni kwamba Kila aamkapo asubuhi wakati ana anawa uso damu zinatoka puani, wakati mwingine wakati amekaa tu damu zinatiririka!!
Naombeni msaada wenu madaktari