Nini tatizo la damu kutoka na kukuta imekauka sehemu ya mbele ya uume?

Gwiji Deo

Member
Feb 20, 2016
49
12
naombeni usauri wa kitaalamu.

Ukiamka asubuhi ukakuta damu imetoka na imekauka sehemu ya mbele ya uume na husikii maumivu yoyote na mkojo hauna damu ukikojoa wala hupati maumivu wakati wa kukojoa.

Je hii nidalili ya ugonjwa gani jamani?
 
Vipi umewahi kusex na mchepuko?

Vipi umeshawahi kupima magonjwa ya zinaa ktk mwili wako kutokana na kurukaruka kwako?
Je, una uaminifu gani katika mahusiano yako wewe na huyo uliye nae?
NENDA HOSPITAL KAPIME AFYA YAKO

HUKU SIKU HIZI HAKUNA WAKINA ''SHEIKH YAHYA HUSSEIN'' wakakutabiria ugonjwa wako
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…