cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,118
- 1,797
Habar wakuu, mimi ni mgen kidogo kwenye matumiz ya app ya spotify
Ninachofaham ni ku search nyimbo na kuiskiliza , mbaya zaidi ninapochagua nyimbo unakuta nikii play ina play nyimbo nyingine
Ukiachana na hiyo kuna kitu kingine nimekutana nacho kinaitwa podcast sasa naomba nifahamishwe nini tafsiri ya hiyo kitu na pia inatumikaje ili kama ipo vzr na mimi wa sitimbi niweze tumia
Mwisho kabisa nahitaji kujua apple music app na spotify app ipi ipo vzr zaid? Na jeh! Apple music nayo wana free au ni kulipia tupu?
Asanten nawasilisha