Nini nafasi ya vyama vya siasa baada ya uchaguzi?

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,945
Wana JF

Salaam.Jf ni wajuzi wa mambo kwa kutambua mchango wako, wewe JF ni muwazi na mkweli

Ninaomba wajuvi wa mambo ya kisiasa wanijuze hivi baada ya uchaguzi kuisha uchaguzi mkuu mathalani yapi ni majukumu ya vyama vya siasa baada ya nchi kufanya uchaguzi?, kwanza naomba nijuzwe nini nafasi ya chama kilichoshinda katika uchaguzi na vilevile nijuzwe nafasi ya vyama vilivyoshindwa baada ya uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…