Yaani baadhi ya magazeti yanavyoandika habari muhimu nchini siku hizi inashangaza sana. Wanatumia maneno ya kitaa katika uandishi wao kitu ambacho si sawa hata kidogo. Lugha ya kitaa wawaachie magazeti ya udaku wahangaike nayo.
Msemo huu uliaza pale rais wa NK bwana Kim alipofyatua kombora moja matata ambalo marekani na washirika wake Walionekana kusinyaa, kumbukeni hapa jf forums kulikuwa na team mbili team ya KIM na Team ya TRUMP hivyo wale team Kim waliposti maneno hayo kuwa NK inaacha DUDE
Ili sasa tupate uwiano wa neno DUDE la gwajima basi tulinganishe na uhalisia wa neno la dule like kombora LA Korea
Inamaana dude tunaweza kusema ni jambo au kitu chochote ambacho kikiruhusiwa kuachiwa au kusemwa kinaleta madhara upande wa pili.
Dude
Ni ni Dudu
Nadhani ulishamsikia mtu anaitwa Dudubaya.
Anaweza akaitwa pia Dudebaya.
Dudu au Dude ni mdudu akiwa mkubwa.
Inaanza, Kamdudu(e) Mdudu(e) Dudu(e). Lidudu(e) , Gududu(e).
Kwa kiswahili
Wazungu wanapenda kutamka Dude kama wanavyopenda jina la Mama wakaita Mom
Kwenye picha zao za video utasikia wanaitana, Yah..Dude..!
Wanatamka dyud
Kwao Dude ni rafiki wa ukweli mwenye nguvu na msaada wa ihakika. nineno la mtaani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.