Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 791
- 1,764
maisha ni kuzaliwa,kuishi,kula,kulala,kuamka,kunya,kuamka,ku2mikia 2mbo,kuzaa au kutozaa,misukosuko kwa san,furaha kiasi,huzuni kwa sana,chuki,tamaa,,,,,,na kufaHabari,
Leo Katika siku tulivu, nilipata muda wa kutafakari juu ya maajabu ya ulimwengu. Niliketi nje, nikisikiliza upepo ukivuma na kutazama anga pana. Katika utulivu huo, swali moja lilinijia: "Je, maisha ni nini?" Swali hili liliamsha hamu ya kutafuta majibu, lakini pia lilinifanya nijiulize maswali mengi zaidi.
Ni kweli kwamba tunapambana sana hapa duniani, tunatafuta mali, madaraka, na mafanikio. Lakini je, haya ndiyo yote ambayo maisha yanatupa? Tunapoangalia nyuma, tunaona jinsi vitu vingi tunavyovifanya vinavyoonekana kuwa vidogo sana ikilinganishwa na ukuu wa ulimwengu. Tunapojilinganisha na muda mrefu wa historia, maisha yetu ya hapa duniani ni kama chembe ndogo sana mithiri ya mbegu moja ya mchicha. Yote haya huwa ni kazi bure kwa sababu mishoni tunaishia ardhini na kuviacha hivi vyote tulivyo vipambania , kwa hakika maisha ya mwanadamu ni kazi Bure. Sababu yote haya kifo kinakuja kuyamaliza.
Kifo ni ukweli usioepukika. Ni mwisho wa safari yetu duniani. Lakini je, kifo ndicho kinachofanya maisha kuwa na maana? Au kuna kitu kingine zaidi? Labda maana ya maisha ipo katika safari yenyewe, katika uzoefu wetu, katika mahusiano yetu na wengine, na katika mchango wetu kwa ulimwengu.
Nilijikuta nikifikiria wimbo mmoja wa Bushoke unaoitwa "Dunia Njia". Wimbo huu umenipa ukumbusho muhimu kwamba maisha ni safari tu, na kwamba hatimaye tutaondoka duniani. Matendo yetu hapa duniani ndiyo yatakayotufanya tukumbukwe na ndiyo yatakayoamua hatima yetu.
Katika mwisho, tunaweza kuhitimisha kwamba maisha ni zawadi ya thamani. Ni fursa ya kujifunza, kukua, na kuacha alama ya kudumu katika ulimwengu. Lakini ni muhimu kukumbuka kwamba maisha ni ya muda mfupi, na kwamba tunapaswa kuitumia kwa busara na Kwa utu.
"Tusichoke kuomba kila tunapo amka, na kabla ya kulala"
Umeandika sahihi kabsa. Na Kuna kitu nimejifunza kupitia hili andiko lako.umeandika mengi sasa sijui ni kweli unahitaji tafsiri ya maisha ama unatafuta nani anafaidika na maisha yrtu!..?!! nitajibu kwa uelewa wangu watu wengi huchanganya maana ya maisha na mambo ya maisha!.. mambo ya maisha yanakuja baada ya maisha yenyewe namaanisha kuishi vitendo yani kula,kunywa,kusafiri na vyote vinavyopatikana ktk vitendo vya maisha hivyo ndio vitendo vya maisha lkn tafsiri yenyewe ya maisha ni ndogo ila inamaana kubwa ukiichambua.
Maisha ni uhai.
hiyo ndio tafsiri yangu ya maisha ni rahisi kuitamka lkn kimaana ni pana sana!,uhai ndio unaotoa ruhusu ya wewe kuenenda kwenye maisha yani vile vitendo vya maisha sijui utajiri,umaskini,kula,kulala n.k
uhai ukitoeka hakuna maisha!,hivyo tafsiri rasmi ya maisha ni uhai.
swala la kuyaangalia maisha ktk muktadha wa faida kusema kweli ni kama vile maisha hayatupi faida sisi binadamu!,mimi si muumini wa maswala ya dini! wao huamini kuna kwenda mbinguni ama motoni.. kwao maisha yanaweza kuwa na faida ktk mtazamo huo.
nachoamini ukifa na habari yako imekwisha! hakuna tuzo utapata ama fungu lolote kama faida baada ya wewe kuishi kivyovyote hapa duniani!.
kama sisi hatufaidiki aidha yupo anaefaidika na uhai/maisha yetu hapa duniani! sijui ni nini lakini ni kama vile mkulima anapolima mmea,mmea haujui umepandwa na nnani wala hauna haja kujua upo kwa faida ya nani wenyewe ukipandwa utaota tu!,ila mkulima ndo mnufaika mkuu!.
na kama maisha yetu yatakuwa hayakinufaishi chochote basi inaweza kudhihirisha kuwa ulimwenguni hakuna kitu kinachoitwa "faida". i mean ktk tafsiri basi faida itakuwa ni tafsiri zetu lkn ulimwengu hauhesabu kitu faida kama sheria inazozitambua! hapo nazungumzia nature.
so still tupo kwenye dark, inavyoonyesha bado tunasafari ndefu kwenye kuufunua ulimwengu!.
sawa na ndo ubadili na avatar sasa mkuu unatutisha mno huo uhai wako unautumia kututisha wengine...π€£Umeandika sahihi kabsa. Na Kuna kitu nimejifunza kupitia hili andiko lako.
Stay blessed Mkuu
Ni kweli ukiangali dunia inakuwa balanced vizuri kwa sababu ya vifo.. yaani kila kitu kipo kimzunguko.umeandika mengi sasa sijui ni kweli unahitaji tafsiri ya maisha ama unatafuta nani anafaidika na maisha yrtu!..?!! nitajibu kwa uelewa wangu watu wengi huchanganya maana ya maisha na mambo ya maisha!.. mambo ya maisha yanakuja baada ya maisha yenyewe namaanisha kuishi vitendo yani kula,kunywa,kusafiri na vyote vinavyopatikana ktk vitendo vya maisha hivyo ndio vitendo vya maisha lkn tafsiri yenyewe ya maisha ni ndogo ila inamaana kubwa ukiichambua.
Maisha ni uhai.
hiyo ndio tafsiri yangu ya maisha ni rahisi kuitamka lkn kimaana ni pana sana!,uhai ndio unaotoa ruhusu ya wewe kuenenda kwenye maisha yani vile vitendo vya maisha sijui utajiri,umaskini,kula,kulala n.k
uhai ukitoeka hakuna maisha!,hivyo tafsiri rasmi ya maisha ni uhai.
swala la kuyaangalia maisha ktk muktadha wa faida kusema kweli ni kama vile maisha hayatupi faida sisi binadamu!,mimi si muumini wa maswala ya dini! wao huamini kuna kwenda mbinguni ama motoni.. kwao maisha yanaweza kuwa na faida ktk mtazamo huo.
nachoamini ukifa na habari yako imekwisha! hakuna tuzo utapata ama fungu lolote kama faida baada ya wewe kuishi kivyovyote hapa duniani!.
kama sisi hatufaidiki aidha yupo anaefaidika na uhai/maisha yetu hapa duniani! sijui ni nini lakini ni kama vile mkulima anapolima mmea,mmea haujui umepandwa na nnani wala hauna haja kujua upo kwa faida ya nani wenyewe ukipandwa utaota tu!,ila mkulima ndo mnufaika mkuu!.
na kama maisha yetu yatakuwa hayakinufaishi chochote basi inaweza kudhihirisha kuwa ulimwenguni hakuna kitu kinachoitwa "faida". i mean ktk tafsiri basi faida itakuwa ni tafsiri zetu lkn ulimwengu hauhesabu kitu faida kama sheria inazozitambua! hapo nazungumzia nature.
so still tupo kwenye dark, inavyoonyesha bado tunasafari ndefu kwenye kuufunua ulimwengu!.
sawa na ndo ubadili na avatar sasa mkuu unatutisha mno huo uhai wako unautumia kututisha wengine...π€£Umeandika sahihi kabsa. Na Kuna kitu nimejifunza kupitia hili andiko lako.
Stay blessed Mkuu
Hoja zuri na imenifanya niwe na mixed emotions, kama binadamu akishakufa ndo maisha yake yanaishia papohapo manake mungu hayupo na if no God pia shetani hayupo kwahy tunaposkia maswala ya wachawi sijui waganga na propaganda na upigaji dhidi ya wanadamu, let's discuss this siyo kwa ubay lknumeandika mengi sasa sijui ni kweli unahitaji tafsiri ya maisha ama unatafuta nani anafaidika na maisha yrtu!..?!! nitajibu kwa uelewa wangu watu wengi huchanganya maana ya maisha na mambo ya maisha!.. mambo ya maisha yanakuja baada ya maisha yenyewe namaanisha kuishi vitendo yani kula,kunywa,kusafiri na vyote vinavyopatikana ktk vitendo vya maisha hivyo ndio vitendo vya maisha lkn tafsiri yenyewe ya maisha ni ndogo ila inamaana kubwa ukiichambua.
Maisha ni uhai.
hiyo ndio tafsiri yangu ya maisha ni rahisi kuitamka lkn kimaana ni pana sana!,uhai ndio unaotoa ruhusu ya wewe kuenenda kwenye maisha yani vile vitendo vya maisha sijui utajiri,umaskini,kula,kulala n.k
uhai ukitoeka hakuna maisha!,hivyo tafsiri rasmi ya maisha ni uhai.
swala la kuyaangalia maisha ktk muktadha wa faida kusema kweli ni kama vile maisha hayatupi faida sisi binadamu!,mimi si muumini wa maswala ya dini! wao huamini kuna kwenda mbinguni ama motoni.. kwao maisha yanaweza kuwa na faida ktk mtazamo huo.
nachoamini ukifa na habari yako imekwisha! hakuna tuzo utapata ama fungu lolote kama faida baada ya wewe kuishi kivyovyote hapa duniani!.
kama sisi hatufaidiki aidha yupo anaefaidika na uhai/maisha yetu hapa duniani! sijui ni nini lakini ni kama vile mkulima anapolima mmea,mmea haujui umepandwa na nnani wala hauna haja kujua upo kwa faida ya nani wenyewe ukipandwa utaota tu!,ila mkulima ndo mnufaika mkuu!.
na kama maisha yetu yatakuwa hayakinufaishi chochote basi inaweza kudhihirisha kuwa ulimwenguni hakuna kitu kinachoitwa "faida". i mean ktk tafsiri basi faida itakuwa ni tafsiri zetu lkn ulimwengu hauhesabu kitu faida kama sheria inazozitambua! hapo nazungumzia nature.
so still tupo kwenye dark, inavyoonyesha bado tunasafari ndefu kwenye kuufunua ulimwengu!.
ππ»πππumeandika mengi sasa sijui ni kweli unahitaji tafsiri ya maisha ama unatafuta nani anafaidika na maisha yrtu!..?!! nitajibu kwa uelewa wangu watu wengi huchanganya maana ya maisha na mambo ya maisha!.. mambo ya maisha yanakuja baada ya maisha yenyewe namaanisha kuishi vitendo yani kula,kunywa,kusafiri na vyote vinavyopatikana ktk vitendo vya maisha hivyo ndio vitendo vya maisha lkn tafsiri yenyewe ya maisha ni ndogo ila inamaana kubwa ukiichambua.
Maisha ni uhai.
hiyo ndio tafsiri yangu ya maisha ni rahisi kuitamka lkn kimaana ni pana sana!,uhai ndio unaotoa ruhusu ya wewe kuenenda kwenye maisha yani vile vitendo vya maisha sijui utajiri,umaskini,kula,kulala n.k
uhai ukitoeka hakuna maisha!,hivyo tafsiri rasmi ya maisha ni uhai.
swala la kuyaangalia maisha ktk muktadha wa faida kusema kweli ni kama vile maisha hayatupi faida sisi binadamu!,mimi si muumini wa maswala ya dini! wao huamini kuna kwenda mbinguni ama motoni.. kwao maisha yanaweza kuwa na faida ktk mtazamo huo.
nachoamini ukifa na habari yako imekwisha! hakuna tuzo utapata ama fungu lolote kama faida baada ya wewe kuishi kivyovyote hapa duniani!.
kama sisi hatufaidiki aidha yupo anaefaidika na uhai/maisha yetu hapa duniani! sijui ni nini lakini ni kama vile mkulima anapolima mmea,mmea haujui umepandwa na nnani wala hauna haja kujua upo kwa faida ya nani wenyewe ukipandwa utaota tu!,ila mkulima ndo mnufaika mkuu!.
na kama maisha yetu yatakuwa hayakinufaishi chochote basi inaweza kudhihirisha kuwa ulimwenguni hakuna kitu kinachoitwa "faida". i mean ktk tafsiri basi faida itakuwa ni tafsiri zetu lkn ulimwengu hauhesabu kitu faida kama sheria inazozitambua! hapo nazungumzia nature.
so still tupo kwenye dark, inavyoonyesha bado tunasafari ndefu kwenye kuufunua ulimwengu!.
yanamwisho mkuu kinachokufa ni chenye uhai!. kitu kikiwa mfu huwezi kukiita tena kinamaisha!.Maisha hayana mwisho ,ukifa unakua mbolea unaendeleza maisha ya viumbe vingine tena ,ni mfumo wako unabadilika katika mchakato mwingne uhai.
Sawayanamwisho mkuu kinachokufa ni chenye uhai!. kitu kikiwa mfu huwezi kukiita tena kinamaisha!.
kama vilivyokufa utavihesabu sawa na vilivyo hai basi utakosa maana ya maisha ama uhai!.
Okay nipo huru na hilo tunaweza kujadili..Hoja zuri na imenifanya niwe na mixed emotions, kama binadamu akishakufa ndo maisha yake yanaishia papohapo manake mungu hayupo na if no God pia shetani hayupo kwahy tunaposkia maswala ya wachawi sijui waganga na propaganda na upigaji dhidi ya wanadamu, let's discuss this siyo kwa ubay lkn