Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 761
- 1,688
Nimekuwa mhanga wa kutafsiriwa Mihutasari ya mashitaka iliyoandikwa Kwa lugha ya Kingereza.Mara nyingi Huwa najiuliza maana ya hii kitu Huwa ni Nini...Kwa nini isiandikwe Kwa kiswahili kama ilivyosikilizwa Mahakamani...au lugha ya maandishi ya mahakama ni kingereza hata kama asilimia 99 ya wapeleka kesi hawaijui hiyo lugha Kwa ufasaha..
Huwa sielewi kwa kweli
Huwa sielewi kwa kweli