Nini maana ya i miss u kwa kiswahili?

kukukosa ambako kunapelekea kua mpweke bila yako...na ndio haiji lkn ndio hivo tena nakumiss sana loh
 
Miss..katika muktadha huo ni hamu. .neno I miss you.. ni sawa kuwa na hamu ya Kumuona mtu hivyo unaweza kumwambia "nina hamu ya kukuona" sawa pia na kusema nina hamu ya chakula fulani..au nina hamu ua kwenda mji fulani.. I miss a certain food..au I miss a certain city. Naomba kuwasilisha.
 
Anayejua anijuze mana ya miss u au nimekumiss kwa lugha ya taifa

By the way sio kila sentensi ya kimombo inaweza kutafsiriwa sawia kwa Kiswahili, na kinyume chake. Kwa hiyo ni jukumu la sie waswahili kusaka neno mbadala wa 'I Miss You'. Nawasilisha
 
me sijui ila naona msimponde na kumpinga wa nakukosa,,
Wekeni mawazo yenu tuyaone na kama hauna refresh na wait kuona za wengne,,
 
honey yaani nakukosa kweli, natamani muda huu ningekuwa nawe
niko mpweke sana, nakukumbuka kila ninapopumua mtoto fanya hima urudi bana
me nazidi kukonda tu, wiki nzima inaisha sasa, siendi kazini, chakula hakipandi,
usingizi sipati wala sitamani kitu chochote,
 
Back
Top Bottom