Kuelekea 2025 Nini maana ya huu mchoro wa Kipanya wenye bendera ya CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
913
3,497
448237625_1041054674108340_5656409235585919394_n.webp.jpg

Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.

Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
 
View attachment 3016896

Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.

Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
Mchoro bora wa kipanya ni ule IGP anaelezea Mo alivyopatikana.


Hapa anamaanisha huko CHADEMA shida iko kwa wanaoongoza chama wako na itikadi tofauti hawaelewani.
 
Toka Lissu arejee toka ubelgiji, chadema Utulivu umekwisha, imepoteza mwelekeo, kazi ya Lissu ni umwamba wa kishamba, vision ya mbali hakuna, chadema meng'emeng'e, imepasuka wamepoteana, "" LISSU ONDOKA CHADEMA IPONE ""
 
Basi limekatika mbele. Hao viongoz/ maderva washapasua gari.. lisuu yuko kivyake na mbowe kivyake. Na hao ndo madereva wa chama, kule nyuma kwq maamuma kama Erythrocyte kunaonekana hakuna shida. Hapo CDM ndo kwishinehi- nehi nehi
story kama hizi za zidi ya miaka 2 sasa zipo humu Jf. lkn siku ya siku utasikia kikao cha kamati kuu kimekaa na kimeamliza bila ya mgogoro.
 
Back
Top Bottom