Mama Nehemiah
JF-Expert Member
- Sep 9, 2018
- 244
- 439
Salaam!
Nauliza nini kinasababisha mwanamke kupata kizunguzungu kikali wakati anapokuwa period au baada ya kumaliza period?( mpaka anashindwa kufanya chochote ni kupumzika tu).
Hali hii inaweza kudumu kwa wiki nzima au zaidi halafu inapotea yenyewe mpaka mwezi ujao tena.
Nini husababisha hali hii?
Tiba ni nini?