mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 763
- 1,391
Kwa maeneo mengi ada yao ni mara 2 au 3 ya wenzao wengine kwa mfano ukiwa dar town centa unaenda ubungo utalipishwa elfu 20 hadi 30 au upo eapoti pale dodoma ukachukua taxi ikuzungushe ikakuache pale chakonichako yaani upande wa pili wa apoapo uwanjani utalipa elfu 30 wkt ukichukua bolt kama umelipa sana basi itakuwa elfu 3 hadi 5 hivi.
Je shida ni nini hasa hapa?
Je taxi zina kodi tofauti na hawa wenzao wengine?
Au wana wanalipa nini cha ziada ambacho hawa wengine hawalipi?
Je shida ni nini hasa hapa?
Je taxi zina kodi tofauti na hawa wenzao wengine?
Au wana wanalipa nini cha ziada ambacho hawa wengine hawalipi?