Nini kinafanya madereva wanenepe kuliko maboss wao?

Kumbe mafanikio yanapimwa kwa kua na kitambi na kua mnene?!
Basi Bill gates ni masikini.
 
Dereva anakuwa amekaa huku mwsho wa mwezi mpunga unaingia(amerdhika)...ila boss anawaza jinsi gani atawalipa wafanyakazi wake na zaidi kuongeza ukubwa wa biashara yake(stress kibao akisikia kodi na biashara hazitoki huyu boss anaanzia wapi kupata kiribatumbo...
 
Kumbe mafanikio yanapimwa kwa kua na kitambi na kua mnene?!
Basi Bill gates ni masikini.
Kajadili kijamii, wewe unajadili kisayansi hamuwezi kupatana.
Hivi watu wenye pesa ama utajiri hupimwaje kwa muonekano?
Mtu mwenye kitambi cha kuning'inia, kwenye jamii isiyomfahamu hata kama ni maskini humchukulia kuwa "anazo"
Na kimbaumbau hata kama anapesa na uwezo, kwenye jamii isiyomfahamu humchukulia kuwa ni lofa, hadi pale atakapoonesha uwezo wake dhahiri.
 
Kwanza anakuwa na uhakika wa ajira pili anakaa muda mrefu bila kupata muda wa kufanya mazoezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…