GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,221
Sijajua Simba SC mchezo ujao anacheza na nani ila namuonea huruma kwani ule mpira nilioucheza dhidi ya Al Ahly FC kwao na Waarabu kuutafuta muda mwingi kwao (hao nitakaokutana nao NBC Premier League) baada ya jana kumfunga mbabe wake mtu naenda kuucheza maradufu yake na nikimsamehe sana napiga (namfunga) Goli 8.
Japo Goli 6 naziona kutokana na Mabeki wake (namba 4 na 5) kuwa wabovu (hawaelewani na wanakatika) sana huku Kipa wao (anayefungika kirahisi mipira ya krosi na ya mkono wake wa kushoto) akijiamini kupita maelezo.