Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 48,957
- 151,032
Kuhakiki vyeti vya kuzaluwa ningumu kwani hata yeye mwenyewe raisi hana cheti cha kuzaluwa. Sana sana atakua anatumia afidavit.Nimemsikia Raisi akiongelea swala kutaka kuhaiki pia vyeti vya kuzaliwa kwa watumishi wa umma katika hotuba yake ya leo ili kubaini watumishi wanaodanganya umri kwa lengo la kujiongezea umri wa kustaafu.
Mimi sina kipingamizi na swala la kutaka kuhakiki pia umri wa watumishi lakini nachojiuliza ni kwanini uhakiki wa vyeti vya kuzaliwaa haukufanywa sambamba na uhakiki wa vyeti vya shule kwa watumishi wa umma?
Swala la udanganyifu wa umri ndio wamelijua leo?
Kama zoezi la kuhakiki tu vyeti vya shule limechukua zaidi ya mwaka,hili la kuhakiki vyeti vya kuzaliwa ambalo linaweza kuwa na changamoto nyingi zaidi litachukua muda gani?
Je,baada ya kuhakiki vyeti vya kuzaliwa,wataanza tena kuhakiki vyeti vya ndoa?
Birth Certificate bado hazitoi uhakika wa tarehe ya kuzaliwa ya mtumishi. Labda kama wangeweza kupata kadi ya clinic
Inaweza kuwa ni sababu nyingine ya ku delay haki za watumishi.Nimemsikia Raisi akiongelea swala kutaka kuhaiki pia vyeti vya kuzaliwa kwa watumishi wa umma katika hotuba yake ya leo ili kubaini watumishi wanaodanganya umri kwa lengo la kujiongezea umri wa kustaafu.