BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,361
- 2,674
% kubwa ya hawa makamanda walioongoza haya mapinduzi ni tawi la Al- Qaeda (Kikundi cha Waislam wenye itikadi kali) ambacho Us alisema ni MAGAIDI. Al- Qaeda ingawa kwa sasa hawavumi sana lakini bado wamo na wanamatawi yao km IS nk.
Je US atakuwa tayari kufanya kazi na MAGAIDI wakati kwake MAGAIDI ni watu haramu na anawawinda usiku na mchana, hivyo ni "the most wanted?" Jana Trump kasema, "ni sawa kuanguka kwa utawala wa kiimla wa Bashir Al Assad huko Syria lakini US haiko tayari kuungana na hao wanamgambo wa wapinduzi". Hapa future ya Syria itakuwaj na US ana kambi zake za kijeshi huko Syria.
Lakini chakujiuliza ni kwamba ni kipi kipo nyuma ya pazia kati ya hawa wanamapinduzi na Russia, maana kiongozi wa haya mapinduzi jana kasema "Kambi za kijeshi za Russia nchini humo ziko salama na zimepewa ulinzi". Hapa kidogo US lazima awe na maswali ya kujiuliza.
Pili, Israel jana kasema "kuanguka kwa serikali ya Assad huko Syria ni matokeo ya wao kulazimisha kushindwaa kwa Hezbollah na Iran ktk mgogoro wao". Hapa ni dhahiri Israel imefurahishwa kuanguka kwa utawala wa Assad na wanawaunga mkono wanamgambo wa haya mapinduzi. Lakini suala ni je wataweza kupika chungu kimoja ukizingatia hawa wanamapinduzi ni Waislam tena wenye itikadi kali na wanataka Syria iwe ni Islamic state. Hapa naona ndoa yao haitadumu.
Said: BANDOKITITA