Felix King Zaman
Senior Member
- Aug 6, 2016
- 125
- 117
Ukitaka hip-hop kamili nenda mwanza
Kutoka young killer , Fid Q ndiye wa kwanza
Wanasema mamilionea feki wanatokea Arusha
Rest in peace kwa watakaozusha.
Mjini ngono inalipa kuliko uprofesa
Elimu ni mziki kama Jey profesa
Mdwara banaaa hahahaKaka yaani beti tatu tu uko nje ya mada, sasa sijui ulikuwa unaongelea nini?, hakuna mtiririko kabisa wa tukio, beti tatu bitu vitatu tofauti
R.I.P Hip-hop