Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,781
- 239,458
Hizi ni taarifa kutoka songea , ila walipofika karibu na uwanja wakakodi daladala inayofanya ruti hapo songea ili waingie nayo uwanjani kuficha aibu .Duh wachezaji bodaboda?
Unayo hoja sasa njoo tushirikiane kuokoa timu yetu .Mbn dar walitoka na basi lao?iweje watumie daladala?
Halina mafuta .Yaani wamesafiri Na bodaboda kwenda uwanjani??? Na lile basi letu vipi??
Kumbe..!!Halina mafuta .