Habari wanajamvi, ninatafuta slim laptop yenye 13 inches.
Specs; at least 500 HDD, 4 GB RAM
Brand: HP, Dell, Samsung, Asus or any other reputable brand
NB: Iwe slim, iwe na uzito usiozidi kilo 1.5 na muuzaji nitamlipa kwa kumfikia alipo, iwe ni mpya au used.
Anayeamini ana fair deal anitumie WhatsApp text at 0719579733