Ninashauri michezo ya shirikisho na mingine isiyo na umuhimu isiwekewe LIVE updates

MwananchiOG

JF-Expert Member
Apr 4, 2023
1,528
3,243
Kuna michezo mingi ya muhimu ambayo inastahili kuwekewa LIVE updates, michezo ya FIFA, AFCON, UEFA Champions Leaague, CAF Champions League, Ligi kuu bara, nk. Hii michezo mingine inayohusisha timu zisizojulikana na zisizokuwa na michango yoyote katika maendeleo ya soka Tanzania ni vyema ziwe ignored, na nafasi hiyo zipewe michezo mingine mikubwa kama Netball, Basketball, Soka la ufukweni, Tennis nk. Ili kukuza na michezo mingine pia.

Kuweka LIVE updates kwa michezo ya shirikisho ni kujaza server kwa mambo yasiyo na umuhimu. NAWASILISHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…