Wakuu,mambo vipi! Mimi ni Mtaalamu wa Computer, Nina Bachelor Degree in Computer Science. Nipo Dar Es Salaam. Kwa sasa Ninafundisha kwenye Chuo kikuu kimojawapo hapa Dar.
Ninafundisha MTU mmoja mmoja au group mambo yafuatayo:
Computer Programming: Java, Python, Php, C,C++,Visual Basic
Web Development: Php,JavaScript, HTML ,CSS
Database: Mysql, SQL,MongoDB
Cms:Joomla,WordPress, Blog
Kwa lugha rahisi nitakufundisha:
(a) Kutengeneza Web Applications
(b) Kutengeneza Software
(c) Kutengeneza Website na Blog
Mambo yote yanafanyika KIVITENDO,PRACTICAL LY Kabisa ukishuhudia.
Mazingira ya Kujifunzia Yapo tayari,Computer Zipo za kutosha Na hata ukihitaji nikufuate ulipo nitafanya hivyo.
Bei ni Rahisi na ni maelewano kutokana na unachotaka kusoma. Namba zangu ni 0718 392 735 na 0787 130 836
Tuwasiliane na Karibuni tupige Code.
Nb: Chagua chochote ambacho unapenda kukisoma katika hayo, Uniambie and then tu-arrange.