Pale Moshi karibu na KCMC kuna chimbo kama sikosei linaitwa Amuz Bar & Grill, huwa inachezwa sana paleWadau kwema?
Ninafikiria kuanzisha biashara ya kucheza mchezo wa Paintball Guns, naomba kufahamishwa wapi naweza kuzinunua
pamoja na utaratibu wa kuzimiliki. Asante
View attachment 2727949