Changed ID
Member
- Aug 5, 2018
- 79
- 68
Habari ndugu zangu wanaJamiiforums......Nina TV ya Samsung inch 43 android, inaniletea shida kiasi kwamba siwezi kuona chochote.
TATIZO:
Nikiiwasha inawaka lakini ndani ya sekunde kumi inazima tena baada ya zingine kumi inazima tena. Inakuwa inafanya mchezo wa aina hiyo muda wote ambao inakuwa imewashwa.
OMBI:
Mwenye kumfahamu fundi mzuri naomba anisaidie mawasiliano yake hapa hapa JF...Nitafurahi kama atakuwa anapatikana around Kimara to Kariakoo.
Ahsanteni