Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,260
Hey, sasa mpo dar namnasema asilimia nyingi mpo single why . Nampo kwenye eneo kubwa Tanzania nzima .
Ukiacha watu wa serikali. Katika vitengo mbali mbali. Kuna makampuni makubwa ambayo head quarters ni huko so vifaru wapo huko.
Bado mpo karibu na zanzibar kisiwa chenye wazungu nom stop shida ipo wapi?? KWANINI MPO SINGLE??