WAKATI KUNA VIJANA WANATAFUTA MAENEO YA KILIMO ANGALAU NIKODISHE ENEO LILILOBAKI AMBALO SINA UWEZO WA KULILIMA KWA SASA SABABU BADO NNAJIFUNZA SIWEZI KUANZA NA EKARIUnipimie kwa kupangishwa au uniuzie? Mkuu
Bila shaka ww ni mkulima umeuliza maswali ya kitaalam sana, shamba lazima ujue mazao yanayostawi lazima ujue uhakika wa maji wa kutosha lazima uje hali ya hewa lazima ujue shamba lina udongo gani ila haya mengine utayajua ukifika shambani ajibu kwanza haya uliyomuulizaEkari unakodisha sh ngap?mazao gan yanastawi huko?kisima kina maji ya kutosha?niko serious tufanye biashara
Umejuaje? Mbona uzi kaleta mtu mwengine iweje ujibu wewe? Au una id nyingi umejisahau mada ulitoa kwa id ipi?Lishakodishwa jamani.. Sorry
Umejuaje? Mbona uzi kaleta mtu mwengine iweje ujibu wewe? Au una id nyingi umejisahau mada ulitoa kwa id ipi?
Mbona kama unazuga? kama lishakodishwa hakuna shida ila ukiwa na id nyingi kuwa makini unatuchanganyaNilikua nawazingua Wadau.. Maana mtoa post kakimbia sijui wapi
jamaa anaonekana hayuko seriousBila shaka ww ni mkulima umeuliza maswali ya kitaalam sana, shamba lazima ujue mazao yanayostawi lazima ujue uhakika wa maji wa kutosha lazima uje hali ya hewa lazima ujue shamba lina udongo gani ila haya mengine utayajua ukifika shambani ajibu kwanza haya uliyomuuliza
Mbona kama unazuga? kama lishakodishwa hakuna shida ila ukiwa na id nyingi kuwa makini unatuchanganya
Blaza, tuachane na huku..
Turudi kule kwa raisi2020 atuambie ukweli kama story ame copy ama ni yake..
Twende