Nina ndoto za kuwa huru kiuchumi kabla ya miaka 26, lakini Sina mwanga wa kipi nianze kufanya

"Wakuu habari....Nina umri wa miaka 20 sasa lakini pia kipato nilichonacho kwa siku hakizidi 7000 Nina ndoto za kuwa huru kiuchumi kabla ya miaka 26 lakini Sina mwanga wa kipi nianze kufanya."
Good ideas ila umekuka mida mibaya tatizo , but sio mbaya tutalijadili hili asubuhi , Hapa ndio nyumbani kwa great economic thinkers watakuja kukupa muongozo.
ANYWAY JIFUNZE KUWEKA AKIBA LANGU NI HILO
 
"Wakuu habari....Nina umri wa miaka 20 sasa lakini pia kipato nilichonacho kwa siku hakizidi 7000 Nina ndoto za kuwa huru kiuchumi kabla ya miaka 26 lakini Sina mwanga wa kipi nianze kufanya."
Nenda Kasikilize wimbo wa dayoo mwaka wa "kuforce" anaimba anasema "usikae kizembe na ukipata limama likomoe il utoboe"utanishukuru baadae
 
Second floor mkuu, miaka 20 unamuona ni mtoto ? Na vision yake ni mpaka 2026 so kashtuka mapema kama una nondo mpe mkuu
For real, ni huku niliona pananifaa kwa ushauri na maelekezo engine kuhusu maisha since imekuwa ni ngumu kuwashirikisha wanajamii walionizungka hasa nikizingatia na mitazamo Yao na yangu ipo tofauti🙏🏾🙏🏾
 
Back
Top Bottom