Nina milioni 7, showroom gani naweza kupata gari nzuri?

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,663
7,775
Wadau hiyo ndio bajeti yangu hapo juu, niende showroom gani kati ya Dar au Mwz naweza pata gari ya kutembelea… .
 
Gari ninazopendelea, Spacio, Raum, Toyota cami… swift. Ila nahitaji showroom si vinginevyo… kama hela yangu haitoshi sihitaji maelezo mengine…
 
Nenda show room ya pale mbele ya kituo STUDIO kinondoni unaweza kubahatisha gari za wizi kwa bei rahisi.
 
Njoo mwanza nikuuzie spacio m8 Ipo katika ubora wa hali ya juu. 0759741303.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…