Nina kibamia, kinanitesa mpaka sitamani kuishi

Dotto mkubwa

Member
Sep 1, 2024
23
35
Habari ya Jumapili wakuu,

Mimi ni kijana wa umri wa miaka24 kwa sasa bado nipo chuo naendelea na masomo.

Tatizo langu kubwa linalofanya nisiyafurahie maisha yangu ni tatizo la kuwa na uumemdogo/kibamia. Vipimo vya uume wangu ni, ukiwa umelala nie inch1.5 na ukiwa umesimama nieinch5.6.

Katika maisha yangu mpaka sasa sikuwahi fanya mapenzi mara nyingi huwa natimiza haha zangu kwa kufanya punyeto. Nimekua nikifanya punyeto toka nigundue tatizo nililokua nalo (mwaka2016 nikiwa na miaka 16). Kwa hatua niliyofika madhara ta punyeto nimeanza kuyaona moja kwa moja katika mwili wangu. Mfano wa athari hizo za punyeto nie

- Uume kulegea wakati umesimama
- Kumwaga mbegu bila kufanya mapenzi/punyeto yani hata nikiona matako kwenye dela mimi hapohapo mbegu zinatoka.😭😭
  • Uchovu/usingizi wa marakwa mara
  • Kukosa kujiamini.

Wakuu nipo mbele yenu kijana wenu naombeni ushauri wowote wa jinsi gani naweza kutoka kwenye janga hili. Nipo tayari kupambana kwa namna yoyote mradi niweze kutatua tatizo langu.

Wakuu kuna mengi sijayaandika ila kwa swali lolote ambalo litahitaji maelezo kwa ajili ya kunisaidia nipo tayari kulijibu.

TAFADHALI SANA NAHITAJI MSAADA WENU
 
81LTclUBoFL._AC_UF1000,1000_QL80_.jpg
 
Una shida ya uume mdogo,nguvu za kiume basi tumia hii bidhaa . Inaongeza size mpaka inchi 3,pia inaondoa shida ya nguvu za kiume. Ukiitumia unakua kama unaipeleka mashine gym,ukibeba Nondo misuli huongezeka nguvu na ukubwa. Pia ukitumia penis pump utapata matokeo chanya ya mashine kuongezeka ukubwa na kuwa nguvu sana .
 

Attachments

  • Screenshot_20240908_150111_Chrome.jpg
    Screenshot_20240908_150111_Chrome.jpg
    76.7 KB · Views: 12
  • Screenshot_20240908_150205_Chrome.jpg
    Screenshot_20240908_150205_Chrome.jpg
    67.9 KB · Views: 13
Back
Top Bottom