Nina hizi option tatu kwenye safari ya maisha yangu.

KUKU MAJI

JF-Expert Member
May 16, 2021
685
2,512
Kwa haraka haraka
01.Nimepata mtalaamu(mganga) wa kunipa utajiri wa masharti ya kuchinja kondoo 4 kila mwaka

02.Nimepata mtalaamu wa uhakika wa kunisaidia kuoa jini.(Jina litanipa utajiri)

03.nimepata agent wa uhakika wa kunitafutia kazi unskilled job Canada Dubai na Qatar..

Nipo njia panda naomba ushauri
 
Mali za ushetani hazina umuhimu wowote. Hao kondoo 4 kwa mwaka, kuna wakati watabadili gia utapaswa kuchinja ng'ombe au kumwaga damu ya ndugu yako kabisa. Vilevile huyo jini wa kumuoa naye kuna wakati atakuwa anadai damu. Utajikuta unapata pesa lakini unaitumikia kwa mateso sana. Bora chako cha halali, hata kama ni unskilled labour lakini unaingiza pesa kihalali, kuliko kuwa kama mateka.
 
Mkuu hem njoo PM tuongee jambo_

Back
Top Bottom