Nina 1.5m, je naweza pata Samsung Galaxy s8 edge plus?

Mkuu hiyo hela unaagiza souq.com mpyaaaaaaa na chenji Inarudii....

Nimeiona tigo pre order ni 1.6M
 
Reactions: MC7


Zidisha kwa 608
 
Mkuu achana na hiyo makitu ya simu haraka sana, nenda kafuge kuku uongeze kwanza hiyo hela ndio uanze kutafuta simu. Sasa hivi madamu una kifaa cha mawasiliano tulia nacho tu kwanza.
Mkuu hana shida huyo.wewe fuga kuku.yeye atakuwa mteja wako.
 
Inakusaidiaje simu ya gharama kiasi hicho?
 
Hila hizo simu kuwa makini usije ukapigwa ukapewa copy yake inafanana hvyo hvyo na hvyo kuwa makini sana tena sanaa yaaani
 
Mkuu achana na hiyo makitu ya simu haraka sana, nenda kafuge kuku uongeze kwanza hiyo hela ndio uanze kutafuta simu. Sasa hivi madamu una kifaa cha mawasiliano tulia nacho tu kwanza.
Bado unakula nyama miaka hii ya magonjwa Pole Sana ndugu nenda kapime afya, nyama ni janga kwa sasa, hao kuku kalishe mbwa
 
Reactions: MC7
Mi naisubiri baada ya miezi 5 au 6 hiyo hiyo s8+ nitainunua kwa lakini 600k..... Nasubiria wakati
 
nunua tecno y3 kisha nenda mkuranga nunua kiwanja kwa laki 9/milioni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…