waziri2020
Senior Member
- May 31, 2019
- 194
- 467
Uteuzi wa Mrisho Gambo Jimbo la Arusha umepokewa kwa mitazamo Tofauti ukizingatia kwamba siku Rais John Mgufuli akimtumbua ukuu wa Mkoa huo watu wengi walifurahia na kuonekana wakimwaga pombe bar kwa Furaha.
Baadhi walisema kuwa Arusha bila Gambo ,Lema ataendelea kuongoza jimbo la Arusha Mjini.
Hata hivyo kinyume na matarajio ya wengi mji wa Arusha umeonekana kutokuwa na furaha kwa baadhi ya wananchi kuonyesha kutofurahia uteuzi huo na wengi wakihoji kwamba Gambo aliyetumbuliwa na Rais Magufuli kwa kashfa atawezaje kung'ara kwa wananchi?