chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Atuambie ni kwann hakulipa kodi kwa mda huo wote mpaka inafikia kias hicho 1bln.
mkuu mbona hakuna uhusiano.Na Wewe tusaidie kutuulizia kwa hao anaowadai Bilioni 2 huko Visiwani kwa hawa wa Bara Bilioni 7 kwanini mpaka leo hilo deni la Bilioni 9 " total " hawajamlipa Mzee wa Watu? Mbunge wangu Mzee Mkono " tata " hakika amedhihirisha hekima, utu na busara za hali ya juu tulizobarikiwa nazo Wazanaki ambazo ni nadra sana kuzikuta sehemu zingine.
mkuu mbona hakuna uhusiano.
wewe kuokulipa kodi kunauhusiano gani na kuidai serikali.
umeelewa. sheria kwanza huruma baadae. hakuna uhusiano wa deni na kodi. Ila kwa maana ya upenzi kwa mbuge uko sawa 100%Swali lako ni sawa na kuuliza kati ya Kuku na Yai kipi kilianza? Itafakari hii kwa umakini kisha " jiongeze ".
umeelewa. sheria kwanza huruma baadae. hakuna uhusiano wa deni na kodi. Ila kwa maana ya upenzi kwa mbuge uko sawa 100%
Uhusiano upo tena mkubwa tu kodi anayodaiwa inatokana na deni kubwa ambalo serikali haijamlipa na ukumbuke TRA ni serikalimkuu mbona hakuna uhusiano.
wewe kuokulipa kodi kunauhusiano gani na kuidai serikali.
hiyo sio excuse ya kutokulipa kodi, hata yeye anahamasisha lazima kodi ilipwe.Uhusiano upo tena mkubwa tu kodi anayodaiwa inatokana na deni kubwa ambalo serikali haijamlipa na ukumbuke TRA ni serikali
Wanasema wanamdai bilioni, sasa wamechukua mali gani kufidia bilioni, furniture za ofisi?Nimrod Mkono ameunga mkono kitendo cha TRA kuchukua mali zake
Ningependa kujua alikuwa analipwa kiasi gani kwa saa.Na Wewe tusaidie kutuulizia kwa hao anaowadai Bilioni 2 huko Visiwani kwa hawa wa Bara Bilioni 7 kwanini mpaka leo hilo deni la Bilioni 9 " total " hawajamlipa Mzee wa Watu? Mbunge wangu Mzee Mkono " tata " hakika amedhihirisha hekima, utu na busara za hali ya juu tulizobarikiwa nazo Wazanaki ambazo ni nadra sana kuzikuta sehemu zingine.
Magufuli karudisha adabu mjini!Utu uzima dawa
Mwetu olahezela?Na Wewe tusaidie kutuulizia kwa hao anaowadai Bilioni 2 huko Visiwani kwa hawa wa Bara Bilioni 7 kwanini mpaka leo hilo deni la Bilioni 9 " total " hawajamlipa Mzee wa Watu? Mbunge wangu Mzee Mkono " tata " hakika amedhihirisha hekima, utu na busara za hali ya juu tulizobarikiwa nazo Wazanaki ambazo ni nadra sana kuzikuta sehemu zingine.
Kila malipo yana kodi yake, inalipwa mara tu baada ya transaction kufanyika. Hata hilo deni analodai serikali lina kodi yake. Huwezi kupokea pesa ukaahirisha kullipa kodi sababu unadeni halijalipwa na mtu fulani. mlipakodi unalipa kwa ulichopokea.Jamani hiyo mzee ana kampuni. Na akifanya kazi ya serikali inabidi alipwe ili aweze kulipa wafanyakazi, kula na kulipa kodi. Ka hakalipwa B saba atawezaje kulipa kodi ya B moja? Unawezaje kusema hakuna uhusiano kati ya deni na kodi? Serikali pia iwe inalipa madeni yake.Sometimes I doubt if we are really making making genuine comments!
Naamini kudaiana na kodi hakuna nasaba...Na Wewe tusaidie kutuulizia kwa hao anaowadai Bilioni 2 huko Visiwani kwa hawa wa Bara Bilioni 7 kwanini mpaka leo hilo deni la Bilioni 9 " total " hawajamlipa Mzee wa Watu? Mbunge wangu Mzee Mkono " tata " hakika amedhihirisha hekima, utu na busara za hali ya juu tulizobarikiwa nazo Wazanaki ambazo ni nadra sana kuzikuta sehemu zingine.