Kwa hiyo unataka sisi tukuzuie usiwe mama mchungaji au unataka tuunde kamati ya uzinzi?Cha mwisho nampenda bado
Habari zenu wote
Nisipoteze mda nipo kwenye mahusiano na mtumishi wa Mungu ni mchungaji yupo uko kusini anafanya injili vizur sana yan sana
Tulikutana FB alikuwa anatuponda wadada tunaoweka ubandia mwilini kama kope kucha nywere nk. Nikamwambia Asante kwakutusaidia tunaendelea kupona ndo akaanza kunitumia vifungu messenger ukawa ukaribu mwishoe mahusiano
Mwanzo alikuwa Kila kitu anasema ni dhambi na mim nikawa nakubaliana nae mana nisije ikosa ndoa kwa pastor yaan kumuita mume hataki baadae akakolea akaanza kuniita mke na majina mengine mazur akasema sio dhambi
Akafunga safari kuja kuniona huku niliko na tukakutana sehemu ya wazi chaa ajabu akanipiga busu(denda) na akasema sio dhambi akanishika na maungo yangu akasema sio dhambi nikabaki namshangao
Mpaka sasa nimebaki na maswali mengi je uyu ni pastor wa Mungu kweli au nimepigwa na kitu kizito maana sikuiz anaongelea sana siku tukikutana kimwili Jin's atavnifanya
Cha mwisho nampenda bado
Ushatuharibia Mchungaji tayari. Dhambi hii utapona je?Habari zenu wote

🤣🤣🤣🤣peleka nyapu ipigwe na upako
ulivokua unamtega ulitegemea nn ana roho ya matamanio uyo mpelekee bukede hilo
itabidi iwe hvo🤣🤣🤣🤣
Hao uliowatag Sasa,ni balaa