Nimeumizwa na ushindi wa Tundu lissu

Makonde plateu

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
1,396
3,390
Kiukweli nimeumizwa na ushindi wa TUNDU LISSU hapa mjini Dar eSalaam tutaishi vp?je pombe na nyama tutapata wapi? Je pesa za kutanua kitambaa cheusi tutapata wapi? Madili yangu yalikuwa yanategemea connection za mwenyekiti aliyepita aisee wajumbe mliwaza sisi familia zitaishi VP? 🥺🥺 Leo siku yangu imekuwa mbaya sana aisee nawaza kuhusu uelekeo wa maisha yangu mapya bila ya Uenyekiti wa FAM wakuu mimi mji huu wa Dar utanishinda hapa najiandaa kurudi kijiji kwetu huko Bunda nikafuge na kuendelea na kilimo aisee! Kwaheri siasa na njaa siziwezi kabisa
 
When haters see me winnin' they just hyperventilate
They always try to stop me, but I never hesitate
Just follow all your dreams and when you reach them, celebrate
That's the only way to truly make a hater suffocate

Juice wrld
 
Back
Top Bottom