Tujitahidi kutumia kiswahili kama lugha nyingine zinatupa tabu...To much
Ndio maana tunalazimishana makosa njiani hata kama hayastahili fine.Nilikuwa naongea na mtu wangu wa ndani,akanimbia kila kosa traffic anapewa 7,000.Ndiyo maana traffic wanapiga faini kwa kwenda mbele.Ninachoofia jamii ikichoka ,moto utakaolipuka kuzima hakutakuwepo.Amani tunayoihubiri itageuka Somalia au Libya.Mungu atupe maisha naona siku zinakaribia
Ndiyo wanapewa, kumbuka mwezi walioanza kuchukua hizi 30000 waliingiza hela nyingi sana baada ya huo mwezi zikapungua, trafiki wakawa wanachukua chao ndo wakaanza kuwapa buku saba ili na wao wapate, mkoani trafiki gari za ofisi tano zingine zakoNilikuwa naongea na mtu wangu wa ndani,akanimbia kila kosa traffic anapewa 7,000.Ndiyo maana traffic wanapiga faini kwa kwenda mbele.Ninachoofia jamii ikichoka ,moto utakaolipuka kuzima hakutakuwepo.Amani tunayoihubiri itageuka Somalia au Libya.Mungu atupe maisha naona siku zinakaribia
Unamanaisha Traffic??Kwann nami ncpende kuwa polisi
Km mambo yenyewe ndy haya.
mbona leo hujamalizia makonda oyeeeeeeMmmmmh nanusa udaku mwingine wa kutaka kuichafua serikali napolisi.
Ila kwa siku za hivi karibuni sisi wa mikoani cha moto tunakiona. Gari itakaguliwa na kosa watapata tu kwa magari yaliyo mengi. Nilikamatwa fire extinguisher ikiwa imeisha muda wake kwani muda mrefu sikuwepo. Nikawaambia nakwenda kuibadilisha na waniache tu, nikirudi toka town nawaonyesha. Jamaa akawa anataka elfu 10 kwa hasira nikalipa faini na kwenda kubadili nyingine. Yaani kuna makosa madogo tu ya warning lakini lazima utalipa tu. Hilo la kupewa buku 7 labda lifanyiwe uchunguziMmmmmh nanusa udaku mwingine wa kutaka kuichafua serikali napolisi.
Utakuwa umiongon mwao,si makosa yote ni ya kudhamiria,kama ujuavyo hakuna aliyekamilika hata Vyombo vya moto navyo havijakamilikaTatizo liko wapi? Dawa hapo ni kutofanya makosa