Umeme upo mwenge wa Nini!?Kuna kada kataka kuniharibia siku leo.
Asabuhi asubuhi kwenye maofisi ya watu eti anataka mchango 30,000 wa mbio za mwenge utakaopita wilayani kwetu
Nimemtimua kama mwizi
Hongera mkuu...Kuna kada kataka kuniharibia siku leo.
Asabuhi asubuhi kwenye maofisi ya watu eti anataka mchango 30,000 wa mbio za mwenge utakaopita wilayani kwetu
Nimemtimua kama mwizi
Siwezi kushiriki ushirukina