baharia 1
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 1,452
- 1,583
Nilikuwa na uhusiano na msichana mmoja kwa muda mrefu, lakini tuliachana miaka mitatu iliyopita. Hivi karibuni, alihamia karibu na ninapoishi, na sasa ana mtoto na anaishi na mtu mwingine, ingawa mara nyingi hayupo nyumbani. Tumekuwa na mazoea ya kawaida, kama vile kufua nguo zangu na kuniletea chakula.
Baada ya miezi kadhaa, mdogo wake alikuja kuishi naye. Siku moja, nilimwona mdogo wake akichuma malimao kwenye mti wetu. Nilimuita nikachukua namba na tukaanza kuchati. Usiku mmoja, nilipokuwa nimelewa, nilimwita mdogo wake aje nyumbani kwangu. Alipofika, nilimvuta ndani.
Baada ya tukio hilo, tulianza kuchati na mdogo wake alikubali kuwa na mimi. Hata hivyo, dada yake aligundua mawasiliano yetu na akakasirika sana. Alimtimua mdogo wake na sasa kila mtu anajua kilichotokea, na mimi najisikia aibu.
Sasa, dada yake ananiangalia kwa hasira na ananilaumu, ingawa tulishaachana zamani. Naomba ushauri, je, huyu dada bado ana mapenzi na mimi? Kwa nini anakasirika ?
AU NIRUDISHE MAJESHI NYUMA NIENDELEE KULA TUH MAANA MZURI BANA UONGO MBAYA