Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,289
- 2,147
Wakuu habari, naombeni msaada wenu,
Iko hivi kuna manzi niko nae, ex wake alichukua simu ya manzi wangu na kuni block kwenye calls za kawaida.
Yaani nikipiga au manzi akicheki simu zinakuwa zinakata tu, sms tukitumiana zinakuwa derivered ila kila mmoja hazion za mwenzie, nahisi pia nikituma sms lazima zipitie kwa huyo mshikaji.
Ukija social media, facebook, Whaatsap kote huku nime blokiwa, ila whaatsap nikituma sms zina onyesha tiki mbili ila kule mwenzangu hazioni, wakuu mwenye maarifa na hii kitu ilionikuta naomba anisaidie, manzi yeye pia kashindwa kutoa , inakuwa kuwasiliana mpaka tuchukue line nyingine ndio tunawasiliana.