Nimepotelewa na line ya halotel ya chuo.

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,089
2,198
Naomben kujua wadau. Hivi nikienda kurenew hyo line, huduma za kichuo zinaendelea au wanasitisha?
 
kwani ww ni mwanafunzi?
kama mwanafunzi nenda na ID yako uliosajilia ila kama uliipata kiujanja ujanja ndo ivo tena karibu mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…