Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 423
- 1,082
Heshima kwenu!
Kila mkoa una neema na changamoto yake. Nilifanikiwa kuwa moja ya mafundi katika ujenzi wa stend mpya Sumbawanga.
Kazi ilikwenda vizuri lakini vijana wangu wa kiume wasaidizi ndiyo basi tena walibakia huko baada ya kazi hawajarudi hadi leo na hawataki kabisa kusikia habari za kurudi.
Nimepambana sana kuwarudisha lakini wapi, wananijibu wamependa kuanzisha familia Sumbawanga.
Niliyebahatika kurudi dar ni mimi peke yangu. Hii ni kutokana na kwamba nilijipikia ugali wangu mwenyewe!
Mafundi wangu wengine wote waliojaribu kupikiwa vyakula na wenyeji wanasema hakika ni vitamu sana hata wamejikuta wamepapenda kuishi huko.
Baada ya kurudi Dar
Saiti hii ndiyo iliyonifanya nibadilishe wasaidizi wangu! Hasa ninapokwenda saiti za mikoani sahivi jeshi langu la kazi ni wasaidizi wanawake na matokeo nimeyaona! Tukienda wote tunarudi wote.
Sasa hivi nimepata kazi nyingine Kondoa HAUBI na ILANGI. Nina imani huku ni salama kama kuna changamoto naomba wenyeji mnijulishe kwa namba hii 0711756341 (fundi samico) ili nichukue tahadhali wapendwa.