Juuchini
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 1,621
- 2,259
Wakuu namshukuru Mungu baada ya kuhamia huu mji kwa zaidi ya miezi 5, huku nikitaka wa kunipunguzia upwiru ninapokuwa mbali na wife . Pia si mnafahamu kuwa michubuko inaimarisha ndoa. Nimefanikiwa kulinasa limama mtu mzima kabisa. Huyu ananizidi kama miaka 6 hivi. Sasa hivi mwenyewe ananiita mda wowote na haombi pesa maana ana kazi yake. Maisha burudani sana.