isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,553
Wakuu nimeota Chid Benz anataka kunimaliza kwa kutumia kitu kama gogo, mkongojo, bakora au mpini mkubwa kweli.
Nilikuwa na vijana wawili tukifanya hiking maeneo ya kilima fulani (Nature hii sikuitambua) na hata vijana sikuweza kuwatambua lakini mmoja seems nimemfahamu.
Muda wote tulikuwa tukizungumza na kujadili masuala mbalimbali ndio ikifakia hatua kijana mmoja akasema jambo kuhusu Chid Benz tukawa tunazungumza huku tukishika kilima tukipita pembezoni katika kijito chenye maji yanayotiririka.
Ghafla kijana huyu aliyekuwa mrefu kutupita sote akasema "Eeh Chid huyo hapo, anaua! Kimbieni" tukaanza kukimbia vijana wawili wakawa na uwezo wakikimbilia upande wa juu "Kaskazini Magharibi" huku mimi nikikata kona kwenda West.
Ghafla tukio nikaanza kuliona Oblique mode! na hapo Chid amenikaribia nikawa najisemea moyoni "Tatizo nini?, Kwa nini imekuwa hivi?! Nimekosa nini!" Huku nikielekea mbele nikaanza kuona jengo lakini maeno yanaoneka ni sehemu walizo wahi kuishi watu muda mrefu.
Chidi akarusha hilo gongo/fimbo ghafla tukio likaonekana slow motion mode na hapo nikaruka kulala chini gongo likanikosa likapita hadi kwenye jengo lilokuwa mbele.
Ghafla nikashtuka!
-
Tafsiri ya ndoto hii?