Nimeongea na robot juu ya Tanzania haya ndio majibu yake

bahati93

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
1,254
2,291
Wandugu mambo yanaenda kasi sana.

Kuna huyu mdudu mpya kwenye mtandao anaitwa ChatGPT. hii ni AI ambayo ipo mbioni kufuta kazi nyingi sana za waandishi habari.

Hapa ni machache tu ambayo nilikuwa naongea nayo.
Screenshot_20230123-092924.png

Hata hivyo ilinipa moyo baada ya kuona huzuni yangu
Screenshot_20230123-093031.png

Asanteni kwa kushiriki
 
Back
Top Bottom