Tokea niache pombe nina miezi miwili nimenawiri kila ninaekutana nae ananiambia aisee umenawiri.Halafu vile vile napiga show ya kibabe sana kwa shemeji na mawifi zenu.
Ndugu wanajamvi tokea niache pombe nina miezi miwili nimenawili kila ninaekutana nae ananiambia Aiseeee umenawili ,Halafu vile vile napiga show ya kibabe sana kwa shemeji na mawifi zenu ,Ushauri wakuuu acheni pombe sio nzuri
Mkuu, madamu umeweza acha pombe... nina hakika na uzinzi wa weza acha ..utanawiri mara mia 8!!
Hongera sana.. ni wakati mwafaka kumkaribia Mwenyeezi Mungu anakupenda bado!!
umeacha pombe umezidisha uzinziiii kwa mawifi zetuu
Huko uliko ukifikiri ni sifa subir basi endelea ka kazana sana maana bila uzinifu hamuishi.baada ya muda mfupi utakuja na kichwa kinacho sema
"BAADA YA KUACHA POMBE NA KUWA VIZURI KWENYE 6*6 YALIO NIKUTA NI HAYA.....................
Mkuu, madamu umeweza acha pombe... nina hakika na uzinzi wa weza acha ..utanawiri mara mia 8!!
Hongera sana.. ni wakati mwafaka kumkaribia Mwenyeezi Mungu anakupenda bado!!
wewe mbunye a.k.a papuchi ndio inayokumaliza acha kusingizia pombe,labda iwe ulikuwa unakunywa alafu huli.mbona wengine gambe tunapiga kila siku na afya ni njema sana tena kula mtu ukikutane naye anakuuliza mwenzetu vipi tunona umehamishia bucha la kiti moto kwako.