Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Idadi ya Boeing 787
Number
Testing Complete 3
To be assembled in Everett 181
To be assembled in Charleston 139
Parts Arriving 6
Undergoing final assembly 7
Storage 0
Storage/Change Incorporation and Re-Work 0
Change Incorporation and Re-Work 1
Pre-Flight Prep 8
Production Testing 7
Non Customer Flight Tests 3
Ready for Delivery 3
Donation 3
Delivered 541
TOTAL 902
ww kweli Dr aisee umechambua vzuri yap kwa iyo yetu ni 719 safiAsante kwa data hizo ila ungeweka link.
Total 902
Delivered 541 = L1 to L541
Undeliverable 361= L542 to L902 (ours is L719)
Change incorporation & re-work 1 (Zitto's kick)
zitto ana wivu sana.....umeleta utata!!!
Inabidi ukweli utolewe Kwa tuhuma zake ni za uongo ionekane bayana. Kumuita mwenye wivu haitasaidia kitu.zitto ana wivu sana
ww kweli Dr aisee umechambua vzuri yap kwa iyo yetu ni 719 safi
Weka facts, sio makrokocho hayo uliyoyaandikazitto ana wivu sana
Ahahahaha kama CDM waliweza badilika angani na tukawaamini hata Zitto atabadilika anganiIkiwa kweli itakuja ndege yenye lot 719 then hili litakua ni anguko kubwa kwa Zitto Kabwe coz hatakuja aminika tena
Boeing 787 zipo 902 yetu ni ya 719 inafanyiwa marekebisho incorpationIkiwa kweli itakuja ndege yenye lot 719 then hili litakua ni anguko kubwa kwa Zitto Kabwe coz hatakuja aminika tena
Aisee tumeuziwa usd 220 million? Aaa!!Kama hawajatoa ela basi Tusubiri tununue za warusi MC-21. Hizo za warusi ndege mmoja ni karibu usd 80 million, kwa huo mkwanja wa ndege moja ya boeing tungepata mbili na vile vidogo vya watu kumi na change ingerudi. Aiseee! Ebu wastue hao wanaoshughulikia manunuzi.Kama hatujapigwa basi watu wetu wa ndani waepiga hizo za juu bei ya ile mibovu ni 99m tu sisi kama tumelipa 220m basi hapo ndipo tulipopigwa.......na kuliwa cha....
Change of incorporation and re-work 1Huo utata ulivyoumaliza, ni utata mtupu!
Swala la waficha pesa uswiss chini ya kiapo alishindwa kusema kweli akabaki anakapua macho tu. Bado kuna watu wanamuamini.Ikiwa kweli itakuja ndege yenye lot 719 then hili litakua ni anguko kubwa kwa Zitto Kabwe coz hatakuja aminika tena