Wadau mimi niliamua kujiajiri rasmi mwaka jana na nikasajili kampuni ya usafi, real estate na usambazaji mwaka huo huo 2023 Aprili. Nilianza hizi harakati tangu nikiwa ajirani nikaandaa ofisi, vifaa na kuanza kusaka kazi.
MUNGU si farujohn mwaka huu mwezi wa 5 nikafanikiwa kupata miradi miwili kwa mpigo. Capital niliyonayo nimepambana nayo sasa naelekea mwishoni bado mambo hayajasimama
Naomba kwa mwenye uzoefu sisi underground nifanyeje kabla sijaaibika?
Akili inachemka sana wadau msaada tafadhali.