supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,017
- 1,965
Habari wakuu?
Mwaka mpya umeanza kwa kasi, inabidi tuanze punguziana machungu sasa. Mimi niko Dodoma, kuna namna nimekuwa nahangaika na masomo ACCA kwa muda mrefu bila mafanikio.
Naomba kwenye uzi huu kama watapatikana wenzangu ambao nao wapo huku Dodoma na wana changamoto kama yangu tuunganishe nguvu tusaidiane. Mimi nimelipia online baadhi ya courses. Ikiwezekana tuunge hata group letu.
Nawasilisha