Nimekutwa na UTI, Typhoid na Malaria

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,023
16,543
Msaada wenu wa mawazo wakubwa,nimetoka zahanati sasa hivi kupima nimekutwa na maralia 3,typhoid na UTI 60.

Naombeni ushauri nianze dozi zote kwa pamoja ama nianze na maralia halafu baadae nipige za UTI & typhoid kwa maana nahisi nikitumia dozi zote kwa wakati mmoja naweza kuhalibu zaidi.
 
Msaada wenu wa mawazo wakubwa,nimetoka zahanati sasa hivi kupima nimekutwa na maralia 3,typhoid na UTI 60

Naombeni ushauri nianze dozi zote kwa pamoja ama nianze na maralia halafu baadae nipige za UTI & typhoid kwa maana nahisi nikitumia dozi zote kwa wakati mmoja naweza kuhalibu zaidi
Zama hizi za UVIKO-19 ni kiashiria fulani kisicho rasmi.
 
Msaada wenu wa mawazo wakubwa,nimetoka zahanati sasa hivi kupima nimekutwa na maralia 3,typhoid na UTI 60.

Naombeni ushauri nianze dozi zote kwa pamoja ama nianze na maralia halafu baadae nipige za UTI & typhoid kwa maana nahisi nikitumia dozi zote kwa wakati mmoja naweza kuhalibu zaidi.
Dawa za Hospitali kwa hayo maradhi ya UTI na Typhoid utamaliza dozi na sio rahisi kupona kwani hayo maradhi yamekuwa ni maradhi sugu yasiyo sikia dawa za hospitali. Ushauri wangu usipo pona na dawa za Hospitali nitafute mimi ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Mkubwa unamaanisha najisumbua bure kunywa hizi dawa za mabeberu
 
Msaada wenu wa mawazo wakubwa,nimetoka zahanati sasa hivi kupima nimekutwa na maralia 3,typhoid na UTI 60.

Naombeni ushauri nianze dozi zote kwa pamoja ama nianze na maralia halafu baadae nipige za UTI & typhoid kwa maana nahisi nikitumia dozi zote kwa wakati mmoja naweza kuhalibu zaidi.
That's just not possible.
Stop going to these kind of doctors.
 
Yeah haiwezekani kila mtu Tanzania anaugua Malaria, Typhoid and UTI.
Ni incompetence tu hiyo because in practice haipo hivyo.
Kwenye nyumba ya kupanga ninayoishi wako watu 6 wote wana tatizo hilohilo
 
Enh
IMG_20210717_081609.jpg
 
Yeah haiwezekani kila mtu Tanzania anaugua Malaria, Typhoid and UTI.
Ni incompetence tu hiyo because in practice haipo hivyo.
Kwani haiwezekani mgonjwa kuugua magonjwa hayo matatu Kwa pamoja?

INAWEZEKANA, Vimelea na Njia za maambukizi ni tofauti Kwa Kila ugonjwa.
 
Yeah it's possible(although from years za treating sijawahi kuona) but from my practice Typhoid,UTI and Malaria ni vitu very rare sana
Tanzanians wanaumwa vitu tofauti kabisa na everyday wanaambiwa hivyo vitu vitatu
 
Msaada wenu wa mawazo wakubwa,nimetoka zahanati sasa hivi kupima nimekutwa na maralia 3,typhoid na UTI 60.

Naombeni ushauri nianze dozi zote kwa pamoja ama nianze na maralia halafu baadae nipige za UTI & typhoid kwa maana nahisi nikitumia dozi zote kwa wakati mmoja naweza kuhalibu zaidi.
Hiyo UTI 60 ni HPF au ni nini?
 
No sidhani hao wana vitu tofauti kabisa.
Madaktari wa Tanzania sometimes wana disappoint kwenye treatment.
Unataka kusema hakuna mtu mwenye Provisional Diagnosis zaidi ya moja?

Kama yuko exposed kwenye hayo mazingira possibly ni true, kingine ni kuwa hakuna Dr. anayefanya maabara zaidi ya kusubiria majibu yanayoletea na mtaalamu
 
Back
Top Bottom