sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,103
- 10,045
Wakati natoka home kuelekea kuangalia mpira nikapitia maeneo ya machinjioni mtaani kwetu .
NIMEKUTANA na ngombe mnyama akiwa amelala chini huku akiwa amevunjika mguu wa nyuma mfupa uko nje nilistuka sana infacts sijawahi shuhudia live binadamu akiwa katika Hali iyo
Nika imagine maumivu anayopitia huyo ng'ombe je waliomfikisha hapo mbona hawakumjali kumpatia huduma ya kwanza au kumchinja ili kuepuka maumivu anayojisikia
Nika-relate na maisha halisia mfano wewe binadamu umevunjika mguu porini huwezi kuomba msaada mtu yeyote wala hakuna mtu karibu then anapita ng'ombe ? Hutotaka kumsemesha kweli?
LIFE HAS NO REAL MEANING