kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,114
- 1,870
Juzi nilikua Arusha nmerudi hapa home mkoa wa Kilimanjaro, kabla sijarud dar nataka Tena kwenda LUSHOTO KUTEMBEA, Arusha nilipapenda sana nkapata na mwenyeji akanitembeza Mitaa, Hali ya hewa nzuri sana, na Kuna jamaa akanielekeza niende africana bar 
noma sana.
Sasa nataka kwenda kupigwa na baridi huko Lushoto, nataka direction ya kupata mambo yafuatayo nikifika:-
* Lodge nzuri za bei ya kawaida tuu
*Sehemu kwenye watoto wa kisambaa nikasafishe macho
*Sehem wanapouza misosi mizuri (pork isikosekane)
*Sehemu ambayo Internet ya Tigo au Airtel iwe inasoma 4G
NIPENI direction wakuu lengo langu mwaka huu nikutembelea Kila mkoa uliopo ndani ya Tanzania.